The United Republic of Tanzania
Ministry of Finance

Tax Revenue Appeals Board (TRAB)

Frequently Asked Questions

CAN SOMEONE FILE AN APPEAL OUT OF TIME?

Iwapo mtu yeyote  amechelewa kukata rufaa ndani ya muda uliotajwa kisheria, anaweza kupeleka maombi Bodi ya kuongezewa muda wa kukata rufaa. Bodi inaweza kuongeza muda iwapo itaridhika na sababu zilizotolewa na mruafani.